Iran, Saudi Arabia, Pakistan na Uturuki zimekubaliana kuendeleza mashauriano ya kiusalama na kuimarisha ushirikiano wa kikanda kufuatia mazungumzo ya ngazi ya juu yaliyofanyika mjini Tehran, Iran, Jumatatu.
Hatua hiyo inakuja wakati kukiwa na hofu ya kuibuka tena kwa mashambulizi ya Marekani...