Septemba 29, 2025 Serikali ya Tanzania, Zambia na China walisaini mkataba wenye thamani ya dola bilioni 1.4 ( Takribani Trilioni 3.4 Tshs) kwa ajili ya ukarabati wa reli ya Tanzania-Zambia (TAZARA), ambayo kwa miongo kadhaa imekuwa uti wa mgongo wa Biashara kati ya Afrika Mashariki na Kusini mwa...