miundombinu arusha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GE2025 Bilioni 51 kutumika ujenzi wa barabara, masoko na stendi Arusha

    Mradi wa Uendelezaji wa Miji na Majiji Tanzania (TACTIC) unatekeleza miradi yenye thamani ya Shilingi bilioni 51 katika Jiji la Arusha ikiwa ni sehemu ya uendelezaji wa Jiji hilo katika eneo la miundombinu ya barabara, masoko na stendi. Hayo yamesemwa na Meneja wa TARURA Wilaya ya Arusha...
  2. Paul Makonda:Arusha yapewa bilioni 42+ Kulipa fidia mbalimbali ili kuboresha miundombinu Arusha

    Mkuu wa mkoa wa Arusha Cristian Makonda ameainisha kuwa jumla ya Shilingi bilioni 42 na zaidi zimetolewa na Serikali kuu kuhakikisha fidia mbalimbali kwa ajili ya kuboresha miundombinu mkoani humo zimetolewa kuondoa malalamiko ya wananchi. Hili sio jambo dogo.
  3. PreGE2025 VIDEO: Mama amchana kiongozi wa TARURA bila uoga, amwambia 'acha uongo, unafiki hatutaki sisi Wananchi'

    Wakuu Wananchi wa Arusha walifunga barabara kwa mawe wakipinga hali mbovu ya miundombinu, huku wakimtaka kiongozi wa TARURA, Vickey Chisoma, aseme ukweli kuhusu changamoto hiyo. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na...
  4. Wananchi arusha wafunga barabara kwa saa kadhaa, kisa ubovu

    Baadhi ya Wananchi wa Kata ya Kiranyi wilayani Arumeru Mkoani Arusha wamefunga Barabara kwa saa kadhaa kwa mawe na Magogo wakiishinikisha serikali kuikarabati. Soma Pia: Wananchi Hai, Simanjiro na Arumeru wafunga barabara kwa saa nne waitaka Serikali kutatua changamoto Barabara hiyo ya...
  5. N

    KERO Barabara ya Ndungu-Lugulu bado haijatengenezwa tangu mvua za mwaka 2023, Serikali iingilie kati

    Nikuhusu barabara ya Ndungu-Lugulu. Barabara hii, tangu iharibiwe na mvua za El Nino mwaka 2023, haijawahi kutengenezwa. Barabara hii ni muhimu sana kwa wakazi wa kata ya Lugulu na kata ya Mtii, hasa wakati wa mavuno ya tangawizi. Kwa sasa, hakuna gari linaloweza kupita katika barabara hii...
  6. Mrisho Gambo ageuka mbogo kusuasua kwa ujenzi wa barabara ya Engosheratoni jijini Arusha

    Mbunge wa Arusha Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mrisho Gambo, ametembelea mradi wa ujenzi wa Barabara ya Engosheraton jijini Arusha na kumtaka mkandarasi wa mradi huo, Jiangxi GEO, kuongeza kasi ya utekelezaji. Akizungumza baada ya ziara hiyo, Gambo amesema barabara hiyo ilitakiwa...
  7. M

    PreGE2025 Arusha: Wananchi kata ya Murieti wampitisha Diwani kwenye dimbwi la maji kushuhudia changamoto wanazopitia

    Wananchi wa Mtaa wa Murieti, Kata ya Murieti, jijini Arusha wamefunga barabara ya kuelekea Intel kwa zaidi ya saa tatu siku ya Jumatatu Desemba 16, 2024, wakishinikiza serikali kutengeneza barabara ya Kimara Mwisho hadi Kwa Patel ambayo imeharibika vibaya na kujaa mashimo yenye maji machafu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…