Mi ni mfanyabiashara wa nguo za mtumba, mabelo tunayofungua kipindi hiki ni tofauti sana na miaka ya nyuma hasa kabla ya bandari kubinafsishwa, changamoto ni kuwa kipindi cha nyuma mizigo ilikuwa mizuri haina uchafu (lonya) pia bei zilikuwa zinabebeka.
Baada ya mchakato wa mabadiliko ya bandari...
Anonymous
Thread
biashara ya mitumbamitumbabandaridar
nguo za mitumba tanzania