Ripoti ya BBC World Service inasimulia kisa cha mwanaume aliyepewa jina la “Eric” (si jina lake halisi), ambaye mwaka 2023 aligundua kwa mshtuko kuwa video ya ngono aliyokuwa akitazama mtandaoni ilimuonyesha yeye na mpenzi wake wakati wakiwa wamefikia hoteli jijini Shenzhen. Video hiyo ilikuwa...