Dar es Salaam kwa sasa ni jiji lenye idadi kubwa sana ya watu lakini lenye eneo dogo kijiografia. Hali hii imesababisha msongamano mkubwa wa watu, makazi holela, shinikizo kwenye miundombinu, huduma za jamii na mazingira.
Kwa mtazamo wa Regional Development Planning, hali hii inaonesha wazi...