Habari Member wa Jf
Mimi ni Kijana kutokea Mbeya (29) nina Shahada ya Uchakataji na Uchenjuaji Madini
(Metallurgy and Mineral Procesing Engineering)
Ambapo naweza kufanya kazi kwenye:
- Plants za uchenjuaji (kama operator), Viwandani pamoja na kwenye maabara za madini.
Pia nina ujuzi...