Aliyekuwa kocha wa klabu ya Yanga Sc, Miloud Hamdi kutoka Algeria ametambulishwa kuwa kocha mkuu wa klabu ya Ismaily Sc ya Nchini Misri kwa mkataba wa mwaka mmoja na chaguo la ongezeko la mwaka mmoja zaidi.
Hamdi ameondoka Yanga Sc baada ya kuiongoza Yanga Sc kutwaa mataji matatu yakiwemo...