mikeka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wimbi la ubakaji kwa watoto limekithiri, ni nini kinasababisha?

    Mimi nimekaa najiuliza sijapata jibu mpaka sasa. Mtu una mke au wake au una Mpenzi au wapenzi Inawewezekanaje ukaenda kumuingilia mtoto mdogo wa umri wa miaka m3 Asiyejua chochote! Kwani amekukosea nini? Mbona wanawake wamejaa na wanatoa huduma ya line zote! Umekosa nini huku labda wana Jamii...
  2. JamiiForums Tanzania Watanzania wengi tumejikatia tamaa, tunaishi kwa kutegemea mikeka itiki

    Habari wadau! Kiukweli zama zimebadilika sana, kwa sasa Watanzania wengi tunaishi kwa kutegenea mikeka. Wanaume majumbani kwetu ndio usiseme, wife ukiona anakuzonga zonga unamwambia kuna mchongo huo naufukuzia ukitiki tu mambo yatakuwa poa kumbe mtu mzima una mkeka wako wa siri unangoja Odds...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…