Mamia ya wakazi wa Wilaya ya Chunya, Mkoa wa Mbeya, wamejitokeza katika Viwanja vya Shule ya Sekondari Chalangwa, kuaga miili sita ya wanafunzi waliokuwa wanasoma shule hiyo, waliopoteza maisha kwa kugongwa na basi wakiwa mazoezini majira ya saa kumi na moja alfajiri siku ya Jumamosi, Kijiji cha...