Hulka za viburi na ujeuri za viongozi wakuu wa chadema, mathalan Lisu na heche, vinalandana na kushabihiana kabisaa na ukaidi usio na faida wa viongozi kama vile Zelensky na Hayatollah Khemenei ambao kwa kauli za vinywa vyao tu, wanayaangamiza mataifa yao mchana kweupe, huku ulimwengu mzima...
Saudi Arabia ni taifa la Waislamu wa Sunni (kabila la Wahhabi) na Iran ni taifa la Waislamu wa Shia, na ndiyo ngome kuu ya Shia duniani.
Syria, chini ya utawala wa Bashar al-Assad, inaongozwa na Alawite — tawi la Shia.
Iraq, baada ya Saddam Hussein (Sunni), sasa ina serikali yenye ushawishi...