Habari za utaftaji ndug zangu
nipo katika maandalizi ya vitalu vya upandaji miti ya fensi kwaajil ya kuzungushia uzio shambani
Changamito ni upatikanaji wa mbegu za fensi ya michongoma au kwa jina lingine fensi ya arusha
miche yake ikiwa mikubwa hutoa miba mirefu na urefu wa miiba yake unaweza...