Mambo vipi wadau,
Mimi kijana nafanya kazi sehemu moja ila mshahara wangu mdogo ila unagawanyika sana naona kabisa mshahara haujitoshelezi. Nimeandika huu uzi kwa wale wajanja mjini tupeane basi code nasi tufanye hizo harakati tutoboe wote maisha kiukweli hela ya kutegemea mshahara ni mateso...