Wana jamvi heshima mbele.
Naomba msaada kwa yeyote mwenye kuelewa nini mantiki ya kutumia pesa za walipa kodi kusherehekea miaka hamsini ya uhuru inatufaidisha nini na kuongeza nini inaelimisha nini na inalengo gani katika mkakati wa kukuza uchumi na kuondoa umasikini...