mgombea urais aafp

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GE2025 Mgombea urais AAFP asisitiza 'Sina mzaha kufuga mamba ikulu' Mafisadi Dawa yao ni kuwafanya chakula cha mamba

    Mgombea urais kupitia Chama cha Wakulima (AAFP), Kunje Ngombale Mwiru, amesema dhamira yake ya kufuga mamba Ikulu kwa ajili ya kuwala mafisadi si mzaha, bali ni mkakati mahsusi wa kupambana na ufisadi nchini. Mwiru amesema wapo waliodhani kauli hiyo ni masihara ya kisiasa au porojo za kampeni...
  2. R

    GE2025 Mgombea Urais AAFP: Serikali yangu haitoruhusu ushiriki wa Viongozi wa Dini kwenye Siasa

    Mgombea urais kupitia Chama cha Alliance for African Farmers Party (AAFP), Kunje Ngombale Mwiru, akiendelea na kampeni zake mkoani Morogoro, amewakosoa baadhi ya viongozi wa dini wanaoingilia masuala ya kisiasa badala ya kusimamia majukumu yao ya kiroho na kuhubiri neno la Mungu Akihutubia...
  3. GE2025 Kingunge Ngombale–Mwiru: Mkinichagua kuwa rais, Mawaziri wangu hawatalala ni mchakamcha tu

    Mgombea wa Urais kupitia Chama cha Wakulima AAFP, Kunje Ngombale Mwiru akiwa katika muendelezo wake wa kampeni katika Mkoa wa Morogoro kata ya Mvuha ameongea na wananchi wa kata hiyo, Ametaja maadhi ya vipaumbele vyake moja ni kwamba serikali yake itakuwa ni serikali ya mchaka mchaka mbaka...
  4. GE2025 Mgombea AAFP: Nitaruhusu kilimo cha bangi kukuza uchumi, Walevi lazima wakate Leseni

    Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Wakulima (AAFP), Said Soud Said, amesema moja ya ajenda zake kuu endapo atapewa ridhaa ya kuongoza ni kuruhusu ulimaji wa bangi kwa matumizi ya kiuchumi, akisisitiza kuwa hatua hiyo inaweza kuwa mkombozi wa maisha ya wananchi na chanzo kipya cha mapato...
  5. R

    GE2025 Said Soud Said Mgombea Urais AAFP Zanzibar: Nikiwa Rais Vijana watalima bangi na si kuokota Makopo

    Mgombea Urais kupitia chama cha Alliance for Africa Farmers Party (AAFP) Zanzibar, Said Soud Said amesema akiwa Rais vijana wataweza kujihusisha na kilimo cha bangi ili waweze kupata fedha za kutosha na za kigeni kununua magari, kujenga majumba na kuweza kuoa wake watatu hadi wanne...
  6. R

    GE2025 Said Soud: Nikiwa Rais Vijana wataoa kwa pesa ya serikali

    Mgombea wa nafasi ya Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Alliance for Africa Farmers Party (AAFP), Said Soud, amesema endapo atapata ridhaa ya Wananchi wa Zanzibar kuwa Rais, atatenga fedha maalum kwa ajili ya kuwapatia Vijana mahari ili waweze kuoa Soud amesema hayo Agosti 14, 2025 alipokuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…