Mgombea urais kupitia Chama cha Sauti ya Umma (SAU), Majalio Kyara, amesema endapo atapewa ridhaa ya kuchaguliwa kuongoza nchi, serikali yake itatoa ajira milioni 10 ndani ya kipindi cha miaka mitano.
Kyara, ambaye aliambatana na mgombea mwenza wake Satia Mussa Bebwa, amesema mpango huo...