Kwa zaidi ya wiki tatu hadi nne, wakazi wa maeneo ya Nyegezi, Mkolani, na Buhongwa jijini Mwanza wamekumbwa na uhaba mkubwa wa maji, bila taarifa yoyote rasmi kutoka Idara ya Maji.
Hali ni mbaya—wananchi wanalazimika kuchota maji kwenye mito na maji tiririka, ambayo ni hatari kwa afya na...