Dah huyu jamaa anaandika historia mapema sana.
Baada ya mechi ya jana dhidi ya Senegal, Kylian Mbappe amekuwa rasmi mfungaji bora wa muda wote wa timu ya taifa ya France baada ya kufikisha mabao 58 na kumpita Olivier Giroud aliyekuwa na mabao 57.
Mbappe alipiga mabao mawili kwenye ushindi wa...