Rais wa zamani wa Urusi Dmitry Medvedev amesema Magharibi kwa makusudi inavichochea vita kamili dhidi ya Urusi, na kuilazimisha kujibu kwa ukamilifu na ikiwa watalazimika, wataanzisha mashambulizi ya kujilinda.Medvedev amenukuliwa na shirika la habari la serikali ya Urusi, TASS akisema...