Kufanya kosa sio kosa, ila endapo ukiendelea kukosea baada ya kulitambua kosa lako la awali, hapo yafaa kabisa wewe kuwekwa kwenye kundi la wapumbavu!
Ujumbe huo uwaendee ACT Zanzibar; waliojitumbukiza kwenye chama la wana, wakakutana na kabali ya mwana - ZZK! Mwana ambaye huu mwaka wa 10 sasa...