Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Mwanga na Mjumbe wa Baraza Kuu Taifa, Lembrus Mchome, amesema wanachama wa chama hicho hawataki kuona ufisadi ukitokea ndani ya chama chao.
Akizungumza na waandishi wa habari leo, Mchome amedai kuwa kuna fedha za wafanyabiashara zinazopelekwa kwa...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Kaskazini kimemvua uongozi mwenyekiti wa chama hicho Wilaya ya Mwanga, mkoani Kilimanjaro, Lemburus Mchome leo Jumamosi, Mei 17, 2025.
Katibu wa Chadema Kanda ya Kaskazini, Ndonde Tottinan amethibitisha kuvuliwa uongozi wa Mchome katika...