MC Raji Maarufu kama Shemeji wa Taifa kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Instagram amezungumza kuhusu kuumizwa na namna uchaguzi ulivyofanyika Tanzania ambapo Mgombea wa CCM Samia Suluhu Hassan alishinda kwa 98% jambo ambalo ni ngumu kutokea huku damu za watu wengi zikimwagika na Viongozi wa...