1. Ndugu zangu inasikitisha jamii inafurahia Matusi hadharani. Wazazi NAO wanaona ni chanzo cha kipato. Wenzetu duniani wanapambania Innovation za maana hapa kwetu mtoto anachamba mama zake eti Malaya.
2. Mheshimiwa Gwajima chukua hatua Wazazi, waliompa hiyo kazi na huyu mtoto hapaswi kuendelea...