Nianze kwanza kwa tahadhari sio kwamba nimeachwa la hasha!,isipokuwa ni matatizo tu ya kiufundi ndo yalijitokeza!. Maana humu hamkawii kusema nimepigwa na kitu kizito kichwani!.
Ilikuwa hivi,Jana katika pitapita zangu town mida ya usiku kama saa mbili hivi nilikutana na muuza CD akitembeza...