Kwanza nikupe maua yako Mhe. Aida Mbunge wa Nkasi. Mimi pia ni Mkatoliki na uliyoyasema yana ukweli kwa asilimia 100.
No Reform No Election umeletwa na uchaguzi mbaya na wa hovyo wa Serikali za Mitaa 2024. Uchaguzi wa 2024 ungeenda vizuri pasingekuwepo na No Reform No Election.
Mtu...