Mbunge wa Viti Maalum, Salome Makamba, amesema kuwa yeye bado ni mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na ataendelea kuwa hivyo hadi atakapotoa taarifa rasmi ya kuondoka. Kauli hii ameitoa leo, Aprili 15, 2025, nje ya ukumbi wa Bunge jijini Dodoma, alipokuwa akizungumza na...