Ndugu wana JF, wakazi wa Mbeya, Mbalizi na maeneo yake hadi Ifisi, tunapitia changamoto kubwa ya upatikanaji wa maji majumbani.
Ni takribani wiki tatu sasa maji hayajatoka, lakini cha kushangaza, leo maji yametoka wakati Makamu wa Rais alipowasili Mbeya. Hali hii inazua maswali na kuwafanya...