Habari zenu wajuzi, nina mtoto wa miezi 9 ila nimesafiri takribani week mbili sasa na huku nilipo nilikamja maziwa yangu siku moja tu, je nikirudi naweza mnyonyesha? Kuna imani kuwa maziwa ya Mama usiponyonyesha hata siku tatu ukija mnyonyesha mtoto anaharisha hivyo natamani kujua kutoka kwa...