Afisa mmoja wa Kikosi cha GSU aliyeambatana na msafara wa ulinzi wa Gavana wa Kakamega, Fernandes Barasa, amethibitisha kupoteza bastola yake wakati wa mazishi ya Waziri Mkuu wa zamani, Raila Odinga, yaliyofanyika katika eneo la Bondo, Kaunti ya Siaya Oktoba 19, 2025
Kwa mujibu wa maelezo ya...