mawenzi

Mount Kilimanjaro () is a dormant volcano in Tanzania. With three volcanic cones — Kibo, Mawenzi and Shira — it is the highest mountain in Africa and the highest single free-standing mountain above sea level in the world: 5,895 m (19,341 ft) above sea level and 4,900 m (16,100 ft) above its plateau base. It is also the highest volcano in the Eastern Hemisphere.
Kilimanjaro is the fourth most topographically prominent peak on Earth. It is part of Kilimanjaro National Park and is a major hiking and climbing destination. Because of its shrinking glaciers and ice fields, which are projected to disappear between 2025 and 2035, it has been the subject of many scientific studies.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Wafanyabiashara soko la Mawenzi wagoma kisa kodi kuongezwa hadi 20,000

    Wafanyabiashara Soko la Mawenzi Morogoro wamegoma kufungua biashara wakishinikiza Serikali ipunguze Kodi ya pango la Vizimba.Wafanyabishara hao wamesema licha ya kutozwa Kodi kubwa lakini bado Soko hilo lina Miundombinu mibaya jambo ambalo Wateja wanakimbia kufika hapo.Mkuu wa Wilaya ya...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Miili kuharibika kwa uzembe katika Mochwari ya Mawenzi (Hospitali ya Rufaa Moshi)

    Imekuwa ni tabia endelevu, Hospitali ya Rufaa ya Mkoa MAWENZI. Watumiehi wake wamekuwa wakifanya kazi kwa mazoea katika idara zote kwanzia Emergency hadi Mochwari. Chumba cha kuhifadhia maiti kimekuwa kama Biashara, Bila Pesa ya Hongo basi Miili inakuja chukulia na ndugu ikiwa imeharibika mnoo...
  3. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Apaikunda aongoza kura za maoni udiwani kata ya Mawenzi

    Diwani aliyemaliza muda wake wa Mawenzi, Jimbo la Moshi Mjini, Apaikunda Naburi ameongoza kura za maoni katika kata hiyo kwa kupata kura 58 kati ya 94 zilizopigwa. Akitangaza matokeo hayo, katika uchaguzi huo uliofanyika leo Jumatatu, Agosti 4, 2025, Katibu wa CCM Kata ya Mawenzi, Jolitha John...
  4. G

    JamiiForums Tanzania GE2025 Vita ya udiwani Mawenzi; Wananchi wachoshwa na diwani aliyekaa zaidi ya miaka 15 bila mafanikio

    WANANCHI WA KATA YA MAWENZI WAAMKA: WAMCHOSWA NA DIWANI ALIYEKAA MADARAKANI ZAIDI YA MIAKA 15 BILA MAFANIKIO Moshi, Tanzania – Katika kile kinachoonekana kuwa mwamko mpya wa kisiasa miongoni mwa wananchi wa Kata ya Mawenzi, Moshi Mjini, wananchi wengi sasa wameamua kusema wazi kuhusu...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Soko la Mawenzi Morogoro halina maji

    Wiki iliyopita nilibahatika kufika Soko kubwa kabisa la jumla mjini Morogoro linaitwa Mawezi Pamoja na soko hilo kuwa na miundombinu ya kizamani (nafikiri ya miaka 80?) kilicho nishangaza kila Butcher ya kitoweo na hadi maliwatoni watu wameweka madumu ya maji hali iliyopelekea nitake kujua...
  6. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Priscus Tarimo akabidhi gari maalumu la kubeba wagonjwa (ambulance) la pili katika Hospitali ya Rufaa ya Mawenzi

    PRISCUS TARIMO BINGWAA MAMBO UNAYO FANYA TUNA YAONA MBUNGE WETU ANAFAA HATUMUACHI IMETIKI NJE NDANI Mapema leo mbunge wetu PRISCUS TARIMO BINGWAA amekabidhi gari maalumu la kubeba wagonjwa ambulance la pili katika Hospitali ya Rufaa ya Mawenzi, mpaka sasa ameomba magari tano hapa Moshi Mjini na...
  7. JamiiForums Tanzania Uongozi mbovu wasababisha kukithiri kwa uchafu kwenye Hospital ya Mawenzi, Mkoa wa Kilimanjaro

    Hospital ya Mawenzi, Kilimanjaro, kumekuwepo na juhudi za wananchi kufanya usafi katika hospitali ya eneo hilo. Hatua hii inatokana na sababu kadhaa zinazohusiana na hali ya usafi wa hospitali, majukumu ya viongozi wa afya, na athari za mazingira yasiyo safi kwa afya ya umma. Kwanza, wananchi...
  8. JamiiForums Tanzania Washauriwa wasifanye ngono Mlima Kilimanjaro

    Tunawashauri wenza wanaopanda mlima Kilimanjaro wasifanye tendo la ndoa /ngono Mlimani. Kwa sababu ukifika kule utaelewa, supply ya oxygen ni ndogo ndani ya mwili na demand tayari ni kubwa. Ile demand ya kawaida ya mwili tu hujaifikia kwahiyo ukiongeza demand kwenye saizi hizo inakuwa ni shida...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…