Washukiwa kadhaa wamekamatwa kuhusiana na jaribio lililofeli la kumuua Rais wa Madagascar Andry Rajoelina, ofisi ya mwendesha mashtaka mkuu wa nchi hiyo imesema Alhamisi hii.
Watu wawili ambao ni raia wa Ufaransa ni miongoni mwa watu kadhaa waliokamatwa katika kisiwa hicho kilichopo katika...