mauwaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kwa nini tume iliyoundwa inaomba taarifa za uvunjifu wa amani sio matukio ya mauwaji?

    Jambazi anaweka wezi kuomba wananchi wajue kilichotokea ndio haya. Hii tume inataka kujua nani kavunja amani tu ?. Kama mumeona wanacho kisema ni wazi vifo sio kazi yao.
  2. JWTZ liache siasa na lithibiti utekaji na mauwaji kuepuka kugawanyika na wananchi

    JWTZ liache siasa na lidhibiti utekaji na mauwaji kuepuka kugawanyika na wananchi. Wauwaji wote lazima wakamatwe na kama jeshi litafanya siasa na kuwalinda wahalifu litagawanyika na wananchi ndipo litavunjika
  3. PostGE2025 Serikali na Polisi Wanakemea maandamano yasiyo na ukomo lakini mauwaji na utekaji usio na kikomo - aah! Tukutane Ikulu

    Serikali na polisi Wanakemea maandamano yasiyo na ukomo lakini mauwaji na utekaji usio na kikoma aah, tukutane ikulu
  4. Katuni hii ya samia na mauwaji anayofanya kinyume cha sheria inakupa picha gani?

    sa
  5. Watu mbalimbali duniani wanasema hawaamini kama Tanzania ingefikia hatua hii ya kutisha na mauwaji yanayoendelea hovyo

    Watu mbalimbali duniani wanasema hawaamini kama Tanzania ingefikia hatua hii ya kutisha na mauwaji yanayoendelea hovyo. Wanahoji je nchi haina jeshi, inamaana jeshi lililo uwa watanzania ni hili hili la Tanzania, kwenye baadhi ya mijadala watu wanasema jeshi lilikuwa lockdown, na kulikuwa na...
  6. Tume iliyoundwa inatafuta mtu wa kumbambikizia kesi ya mauwaji yaliyofanyika. Waliouwa ni mamlaka ya Samia haibadiliki na ushahidi upo

    Tume iliyoundwa inatafuta mtu wa kumbambikizia kesi ya mauwaji yaliyofanyika, walio uwa watu ni mamlaka ya samia haibadiliki na ushahidi upo. Ndugu Samia kwa ile hotuba yake ni wazi anajaribu kutaka kujivua na kumbambikizia mtu, NGO, au upinzani kwa mauwaji yaliyofanyika chini yake na vyombo...
  7. G Z tafadhali sana harakati sio uharibifu, kama ni Siasa wajikite humo waachane na masuala ya Mali za Wananchi, kwani yatawasababishia kesi ya wizi

    Uharibifu wa Mali na Miundombinu ndio chanzo cha kusababisha mauwaji G Z tafadhali sana Harakati sio Uharibifu kama ni Siasa wajikite humo waachane na maswala ya mali za Wananchi Swala la mali litawapa adhabu na kesi ya Wizi kwani Wananchi wanaishi maisha yakutawaliwa na hasira kali...
  8. Ndugu zangu waislam bwana yesu asifiwe hawa polisi wauwaji wa halaiki sisi tutawawajibisha kwa mauwaji waliyo yatekeleza hiyo #D9 tupo nao sana.

    Ndugu zangu waislam bwana yesu asifiwe hawa polisi wauwaji wa halaiki sisi tutawawajibisha kwa mauwaji waliyo yatekeleza hiyo #D9 tupo nao sana.
  9. Anayesema JWTZ zima linaunga mkono mauwaji na utekaji nakataa

    Jeshi letu ni la kitaaluma Anayesema JWTZ nzima linaunga mkono mauwaji na utekaji nakataa wapo wengi kama wakina tesha wanaunga mkono wananchi watajitokeza. mda ni mwalimu mzuri tukutane #D9 msiogope tutashinda hii vita.
  10. M

    PostGE2025 Hii kauli ya tutawakata vichwa kwa mapanga ikiichwa, ni rasimi kwamba serikali hii inabariki wauwaji?

    NCHI YANGU KWA SASA INASIKITISHA SANA! Kuona kauli kama hii ya kishetwani ikipita tu bila kuchukuliwa hatua? Inashangaza sana, mpaka muda huu kwa aliyetamka wazi wazi tena mbele ya makamera kwamba atakatakata mapanga watu, bado yupo uraiani Je, nini tafsiri ya kauli hiyo inapoachwa tu na...
  11. Tunataka ICC ije kuchunguza mauwaji yaliyofanyika kabla na wakati na baada ya uchaguzi na sio muhalifu ajichunguze mwenyewe

    Tunataka ICC ije kuchunguza mauwaji yaliyofanyika kabla na wakati na baada ya uchaguzi na sio muhalifu ajichunguze mwenyewe.
  12. kuna mtu anajaribu kutawala kwa mwelekeo wa kikoloni yani mitutu ya bunduki utekaji na mauwaji kama wakoloni walikimbia wenyewe hatotuweza

    kuna mtu anajaribu kutawala kwa mwelekeo wa kikoloni yani mitutu ya bunduki utekaji na mauwaji kama wakoloni walikimbia wenyewe hatotuweza. Haya mauza uza mnayo yaona ni majaribio ya utawala wa kipumbavu, sasa sisi hatutokubali na hatuto tawalika na wapumbavu. tukutane #D9 tukinukishe
  13. Mbona JWTZ haitoi pole wala vitisho kwa wauaji wa Oktoba 29? Au waliokufa ni punda?

    Mbona JWTZ haitoi pole wala vitisho kwa wauwaji wa October 29 au waliokufa ni punda. Anasimama mtu anasema heti hajihusishi na siasa mpaka watu wanauliwa alafu wao na wanasiasa mafisadi wamekaa kimya ni vipi hapo hawajihusishi na siasa huu ni uchizi. Jeshi liitwe jeshi la wanasiasa sio la...
  14. PostGE2025 Shekhe Mwapopo amcharukia Mange, adai amechochea maandamano na kusababisha mauwaji ya watu

    Shekhe Mwapopo ameamua kuvunja ukimya baada ya yote kutokea ameeleza chanzo cha haya yote mbali na hayo ametangaza vita kubwa na Mwanadada mange Kimambi kwa kusema anandaa jambo kubwa ambalo litahudhuriwa na watu wengi wakubwa wa ndani ya nchi na nje ya nchi ambapo pia amesema licha ya wageni...
  15. Kufanya maridhiano na wauwaji na wezi ni kuutunuku mauwaji na wizi wa uchaguzi uliofanyika

    Kufanya maridhiano na wauwaji na wezi ni kuutunuku mauwaji na wizi wa uchaguzi uliofanyika . point ni zile zile, uchaguzi bandia ufutwe, mateka wote waachiliwe, katiba mpya tukutane tarehe 9/12
  16. Tetesi: Watu hawa wanahusika na mauwaji ya maelfu ya Watanzania

    Bila kupepesa macho si chini ya Watanzania elfu mbili waliouwawa kwa risasi za moto na pamoja na mateso juu. Baadhi walipigwa na kuvunjwa miguu, mikono, mbavu na hata mikono. Ghasia haikuwa shida , shida ilikua ni jinsi ya kuzuia ghasia hizo, mfano ikiwa kwa sasa kuna mamia ya watu...
  17. Kama wewe ni polisi na unapinga mauwaji yanayoendelea acha kazi chuki na ubaguzi mnaoujenga kwa watu mtakuja kujuta

    Kama wewe ni polisi na unapinga mauwaji yanayoendelea acha kazi chuki na ubaguzi mnaoujenga kwa watu mtakuja kujuta.
  18. Mauwaji 1000+ yaliyofanyika hatuyachukulii kama tishio bali uchizi na makosa makubwa sana

    Mauwaji yaliyofanyika hatuyachukulii kama tishio bali uchizi na makosa makubwa sana.
  19. Kwa mauwaji ya kutisha yaliyofanyika hata Kikwete na CCM wanamshangaa huyu mama haijawai tokea

    Kikwete alishawai kuwa raisi sizani kama anahusika na mauwaji haya bali at as kuwa katika mshangao mkubwa vile nchi inavyoenda. Wasanii nao walikuwa ni mama mama na wanashangaa yanayoendelea huyu mama ni laana mlifanya makosa makubwa sana kumuunga mkono. Kwa mauwaji ya kutisha yaliyofanyika...
  20. Ni muujiza viongozi kama Gwajima na Heche kukamatwa na kupewe ulinzi dhidi ya mauaji yanayoendelea

    Ni muujiza viongozi wakina gwajima na heche kukamatwa na kupewe ulinzi dhidi ya mauwaji yanayoendelea sisi tutakinukisha tarehe 9/12 kwa wauwaji.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…