Habari Wana JF
Haponyuma nilileta tatizo la kuumwa na kiuno Hadi miguu kuwaka moto.
Mrejesho :Nilienda hospital nikafanyiwa x Ray nakuonesha niposawa ikabidi wanipeleke kwenye MRI ambapo majibu yalionesha kulikua namsuguano kwenye UTI wa mgongo maeneo ya kiuno ambapo tatizo Hilo lilisababishwa...
Habari za majukum wanajamvi,
Nielekee moja kwa moja kwenye mada, nimekua napatwa na maumivu makali sana ya kiuno na kwenye mishipa inayoenda kwenye korodani.
Hali hii inatokea zaidi haswa baada ya tendo la ndoa. Kwa wenye ujuzi naombeni msaada wenu au kama kuna daktari mahsusi kwa kina baba...
Habari Wana JF natumaini muwazima
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 32 nasumbukiwa na maumivu ya kiuno sana mpaka yanapelekea nakosa hisia kwa shemeji naombeni dawa zakunisaidia kwani,
CHANZO ni mgandamizo uliosababishwa na kubeba vitu vizito
Asanteni sana
Habari za muda huu Wana JF
Ninasumbuliwa na maumivu ya kiuno muda mrefu hii nahisi nikutokana na kubeba mizigo mizigo ila Hadi kufikia Sasa sio kiuno tuu balii napingili za UTI wa mgongo maeneo ya shingo pamoja na mishipa kiujumla,nikifanya kazi kidogo natoa jasho sana kunamdaa najihisi uchovu...
Habari Wana JF husika na maelezo hapo juu nilikua ninasumbuliwa na maumivu ya kiuno sana ila kwa bahati nzuri nikakutana na mmasai mmoja Arusha akanisaidia hizi dawa zilikua tatu ila alinipa kidogo tuu zamatumizi kama ya sikumbili kutokana na uchache aliokua nao,kiukweli nilitumia ndani yahizo...
Habari wana JF poleni na majukumu.
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25 naombeni msaada ninasumbuliwa na maumivu ya kiuno sana mpaka kuna muda kukaa siwezi nikisimama dakika kumi siwezi nakulala nako pia kunamda nikipengele naombeni msaada wenu, nimejaribu kutumia dawa mbalimbali za asili...
Habari , Jipatie back stretcher ambayo husaidia kupunguza maumivu ya mgongo lakini pia kewezesha mwili kuwa katika mkao mzuri pale unapokaa.
Hii ni nzuri na muhimu kwa ajilinya watu wanaosumbuliwa na maumivu ya mgongo pamoja na wanaofanya kazi zinazowalazimu kukaa kwa muda mrefu.
Bei ni Tsh...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.