Mama wa kijana aitwaye Taramaeli Emanuel, anayedaiwa kumuua mke wake Martha Pius mkoani Arusha, ameongea kwa huzuni kubwa akieleza mawasiliano yake ya mwisho na mwanae
Amesema mara ya mwisho walizungumza, mwanae alimwambia azidi kumuombea. Baada ya tukio la mauaji kutokea, mama huyo alipokea...