Serikali ya Uingereza imeifikisha Tanzania katika Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa (UNHRC), ikitaka kufanyika kwa uchunguzi huru na wa kina kufuatia kile ilichokiita "ukatili wa kushtua" uliotokea baada ya uchaguzi wa Oktoba 2025, ikiwemo tuhuma za mauaji ya kinyume cha sheria na...
Rapa Izzo Bizness ameelezea hofu yake kuhusu matukio ya hivi karibuni ya vifo na kutekwa kwa watu, akisema hali imekuwa ya kutisha zaidi. Kupitia mtandao wa X (zamani Twitter), Izzo ameonyesha wasiwasi kuhusu ongezeko la matukio ya kutoweka kwa watu nchini, huku akisema kuwa hali hiyo...
Sisi wote binadamu Tubadilishane uzoefu mambo yafuatayo yanachukua watu zetu easy
1. Ajali, za magari, mitambo, umeme, gas,moto.
2. Pressure hio ndo zaidi
3. Mahoma homa ya maini na figo yamekuwa mengi.
4. Uwizi
5. Ugomvi wa wivu wa kimapenzi.