matukio watu kupotea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Sirari: Wananchi wampambania mwenzao asitekwe!

    Hali ilivyo Sirari usiku huu baada ya Watu wasiojulikana kumteka mtu wananchi wamekomaa wakafunga barabara dakika ya mwisho watekaji ikabidi wakimbilie kituo cha Polisi Tarime ili kujiokoa. Muda huu Sirari tarime baada ya tukio la kutekwa kwa mmoja wa wafanyabiashara, mapambano ya polisi na...
  2. JamiiForums Tanzania GE2025 Askofu Ruwa'ichi: Hatusikii walioapa kulinda Uhai wa Watanzania Kulaani au Kukomesha Utekaji na Kutoweka kwa watu

    Askofu Ruwa'ichi akizungumza katika Misa ya Takatifu ya Hija ya UWAKA kuwategemeza Masista wa Shirika la Dada Wadogo Visiga Pwani, jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam amesema kuwa utekaji mbalimbali unaotokea nchini unaendeshwa na kikundi Maalum mpaka wananchi kufikia kujiuliza iweje kikundi hiki...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…