matokeo ya wahitimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    JamiiForums Tanzania KERO UDOM SONPH wanachelewesha matokeo ya wahitimu

    Wahitimu wa shahada ya uuguzi kutoka UDOM wanakabiliwa na changamoto ya incomplete kwenye matokeo yao ya mwaka wa pili hali inayosababisha matokeo yao kucheleweshwa TNMC na hivyo kukosa uhalali wa kufanya maombi ya utarajali yanayotakiwa kuanza tar 1 november.
  2. B

    JamiiForums Tanzania NACTE wamepokea matokeo ya wahitimu wa NTA level 6, lakini wamekaa nayo kimya

    Wakati huu wa sayansi na teknolojia, kazi zimerahisishwa sana. Inashangaza kuona baadhi ya taasisi za serikali zinashindwa kwenda haraka katika utendaji kazi kiasi cha kuharibu ratiba za maendeleo ya wananchi pasipo sababu ya msingi. Nacte wamepokea matokeo ya wahitimu wa NTA level 6, lakini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…