Kutokana na uchunguzi wangu mdogo kwenye PDF ya MATOKEO ya TRA, hasa kweny upande wa Custom II, Kuna vitu vimenipa maswali mengi
1. Kwa Jinsi maksi zilivyopangwa ni ngumu mtu kupata 43, au 42.4.
Kwasababu mtihani ulikuwa na maswali matatu ambayo kimsingi huwezi pata hizo maksi na majibu...