Mkuu wa wilaya ya Ilala, Mkoani Dar es salaam, Edward Mpogolo amepiga marufuku shughuli zote za kilimo katika bonde la magore kibeberu kata ya Mzinga.
Hatua hiyo ya kupiga marufuku shughuli zote za kibinadamu katika bonde ilo imekuja baada ya adha ya kukatika kwa daraja na kukata mawasiliano ya...