matajiri tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mtindo wa maisha wa kupata kipato kwa kuomba pesa matajiri Tanzania unafanyika kistaarabu na staha sana.

    Hii video ya machawa waomba pesa kwa matajiri huko Nigeria ni vurugu tupu, haina ustaarabu kabisa na inatweza utu wa waomba pesa, niwasifu machawa waomba pesa wa Tanzania na matajiri wao kwa kulifanya jambo hili kuwa la mtindo wa heshima na staha kidogo. Africa Inasikitisha sana.
  2. JamiiForums Tanzania Kuna jambo haliko sawa. Top ya matajiri katika nchi kuwa wa rangi moja tu

    Sio kwa ubaya lakini sio hali ya kawaida katika nchi ambayo wengi ni Wabantu, Waniloti na Wakushi matajiri top kabisa katika nchi kuwa ni Wahindi, Waarabu na Waburushi/Wapersia na wao kuwa ndio walioshikilia sehemu kubwa ya uchumi na sekta muhimu za uchumi. Inaweza isizingatiwe kwa sasa lakini...
  3. JamiiForums Tanzania Tafiti Zinaonyesha 75% ya Matajiri Tanzania ni Wajasiliamali

    📊 TAFITI ZINAONESHA! ✅ 75% ni Wajasiriamali ✅ 15% ni Wawekezaji ✅ 7% ni Wanamichezo ✅ 3% ni Wasanii ❌ 0% ni Wafanyakazi wa Mshahara tu 👉 Kama unategemea mshahara tu, jiulize: je, uko kwenye njia sahihi ya kuelekea kwenye utajiri? Ni wakati wa kuanza kuwekeza, kuanzisha biashara, au kuongeza...
  4. JamiiForums Tanzania Ni Upi ushiriki wako kwa Matajiri 435 wa Tanzania waliojiunga katika orodha ya mamilionea duniani?

    Matajiri 435 wa Tanzania wajiunga katika orodha ya mamilionea duniani Takriban watanzania 435 wamekuwa mamilionea wa dola mwaka uliopita kulingana na ripoti ya utajiri ya Knight Frank. Waliojiunga katika klabu hiyo ya matajiri wana jumla ya thamani ya kati ya dola milioni moja hadi dola...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…