Ili uweze kuwa na taifa thabiti na madhubuti lazima kuwa na viongozi wazalendo na wenye machungu na taifa lao.
Viongozi ambao watapinga ufisadi wa kila aina na kuhakikisha maendeleo yanapatikana.
Viongozi ambao watazuia ushoga ili kulinda maadili ya taifa lao.
Viongozi ambao watazuia wavuta...
Mchungaji Peter Msigwa, Mbunge wa zamani wa Iringa mjini na waziri kivuli wa maliasili na utalii ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema na Mwenyekiti wa chama hicho kanda ya Nyasa amesema kuwa pamoja na Tofauti zao za kisiasa na kupishana kwa mambo kadhaa ya hapa na pale, jambo moja...
Zile zama za makampuni ya nje kupiga hela kwa mgongo wa ushauri zimerudi.
TPDC imeingia mkataba ya kampuni ya Uingereza za Baker Botts kwa ajili ya ushauriwa kisheria kwenye mikataba ya gesi.
Hivi Tanzania bado hatuna kampuni zenye uwezo wa kutoa ushauri wa kisheria hadi tutoe Ulaya...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Liberata Mulamula amekutana kwa mazungumzo na Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe ambaye pia anaiwakilisha Tanzania nchini Mauritius Balozi Prof. Emmanuel Mbennah na kusisitiza juu ya utekelezaji wa Diplomasia ya Uchumi kwa...