mashujaa fc

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. FT: Simba SC 2-0 Mashujaa FC l NBC premier League l MEJ GEN.ISAMUHYO l 29-1-2026 l 16:00HRS

    Matchday ; Simba SC vs Mashujaa FC Tunaanzia tulipoishia. Nguvu Moja ๐Ÿ’ช All the best Simba ๐Ÿฆ
  2. Wachezaji wa Mashujaa waangua kilio kambini jioni hii utadhani kuna msiba,walishapigia bajeti ngawi wa milioni 100

    Ubaya ubwela,mchezaji wa mashujaa ambaye jina lake linaanza na herufi M ameangua kilio hotelini baada ya bajeti yake ya kununua kiwanja kuota mbawa Wakati akilia ghafla alipokewa na wenzake utadhani kuna msiba Kweli pesa tamu
  3. Mashujaa FC: Kupoteza Muda si Mbinu, ni Tiketi ya Kipigo!

    Kama kuna timu imejifunga goli leo ni Mashujaa FC. Dakika za mwanzo wamegeuza uwanja kuwa sinema ya kuchelewesha mpiraโ€”kipa analala juu ya mpira, mabeki wanatembea kama wanaenda sokoni, na kocha anapiga makofi kana kwamba wanaongoza ligi! Lakini Simba SC si ya kufanyia maigizo! Tulikaa kimya...
  4. Dakika 15, za nyongeza na Penati ya mchongo na bado tunajisifu Kuwa hii ni Ligi ya tano kwa ubora ?

    Mambo ya kushangaza na kustaajabisha kabisa hata kama ni kubebwa Lakini hii ni too much Mashujaaa FC wamezurumiwa wazi kabisa na Refa aliyechezesha Mchezo dhidi ya Simba SC na Mashujaaa. Dakika kumi na tano za nyongeza na Penati isiyo halali Refa kafunika mkwaju Baada ya kuambiwa na mchezaji ...
  5. FULL TIME || Simba SC 2 - 1 Mashujaa FC | NBC Premier league | KMC Complex | May 02, 2025

    Litakufa Jitu Leo... #nguvumoja# VIKOSI VYA LEO 1. SIMBA 2. MASHUJAA FC Updates... Dk 04' Simba wanafanya shambulizi kali , inakuwa kona. Inapigwa haileti madhara. Valentino.. DK 05' Goooooooal Mashujaaa Wanaweka chuma cha Kwanza. Hapa 0-1 HT Simba 0-1 Mashujaa. 2nd Half Simba wamefanya...
  6. Full Time: Mashujaa FC 0-5 Yanga SC| NBC Premier League | Lake Tanganyika | 23.02.2025

    Leo majira ya saa 10:15 jioni pale katika dimba la LAKE TANGANYIKA Kigoma, Mabingwa watetezi wa NBC PL, YOUNG AFRICAN SC watashuka dimbani kupepetana vikali dhidi ya wenyeji wao MASHUJAA FC! usikose kufuatilia mchezo huu kupitia Azam Sport HD2 na kupitia TBC Taifa kwa matangazo ya Radio...
  7. FT: NBC Premier League | Yanga SC 3 - 2 Mashujaa FC | KMC Complex | 19.12.2024

    ๐Ÿ”ฐ๐Œ๐€๐“๐‚๐‡๐ƒ๐€๐˜๐Ÿ”ฐ ๐Ÿ† #NBCPremierLeague โšฝ๏ธ Young Africans SC๐Ÿ†šMashujaa FC ๐Ÿ“† 19.12.2024 ๐ŸŸ KMC Complex ๐Ÿ•– 10:00 Jioni #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko KIKOSI CHA YANGA KINACHOANZA LEO.
  8. Mechi ya Ligi, Yanga na Mashujaa kuamriwa na Polisi kesho Disemba 19

    Kesho, Alhamisi Disemba 19, 2024, mashabiki wa soka watashuhudia Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC kati ya Yanga na Mashujaa, mechi ambayo itaamuriwa na Mkaguzi Msaidizi wa Polisi, Sady Mrope. Mwamuzi huyu, ambaye pia ni miongoni mwa waamuzi waliothibitishwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania...
  9. Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mheshimiwa. Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb), tarehe 02 Oktoba 2024, amekabidhiwa Jezi ya Mashujaa FC.

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mheshimiwa. Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb), tarehe 02 Oktoba 2024, amekabidhiwa Jezi ya Timu ya Mpira wa Miguu ya Jeshi la Ulinzi wa Wananchi Tanzania, maarufu kama Mashujaa.
  10. FT: Mashujaa FC 0-0 Azam FC | NBC Premier League | Lake Tanganyika Stadium | 29.09.2024

    Match Day Mashujaa Fc ๐Ÿ†š Azam Fc ๐Ÿ† #NBCPremierLeague ๐Ÿ•“ Saa 10:15 Jioni ๐Ÿ—“๏ธ 29.09.2024 ๐ŸŸ๏ธ Lake Tanganyika Nb: Tutawakumbusha kazi wanayoweza kuifanya tofauti na kabumbu๐Ÿฆ๐Ÿฆ Mashujaa ndio sisi. KIKOSI CHETU KINACHOANZA. KIKOSI CHAO KINACHOANZA LEO. Updates... Dakika 10' 0-0 HALFTIME...
  11. Simba wakubali yaishe kwa Lameck Lawi, aanza kwenye kikosi cha Coastal Union dhidi ya Mashujaa FC

    Beki wa kati, Lameck Elias Lawi, ameanza rasmi leo katika kikosi cha Coastal Union kinachocheza dhidi ya Mashujaa FC, mechi ya ligi kwenye uwanja wa KMC Complex. Lawi amejiunga na Coastal Union baada ya majadiliano ya muda mrefu kati ya Simba Sports Club na Coastal Union, ambapo Simba ilikubali...
  12. Makambo Jr atimkia Ujerumani, alamba mkataba wa miaka 3

    Timu hii kule nchini Ujerumani inacheza daraja la 6 (Verbandsliga Hessen Sรผd) wakati huku team ya Mashujaa ilikuwa inacheza daraja la kwanza, hapa ameula au hoya hoya Wakuu? ==== Aliyekuwa mshambuliaji wa Mashujaa FC, Athuman Masumbuko 'Makambo Jr' amejiunga rasmi na Klabu ya 1.FCA Darmstadt...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ