Kama kichwa cha uzi kinavyoeleza hapo juu.
Nauza mashudu ya alizeti mazuri kutoka Morogoro, nina kiwanda cha kukamua mafuta sasa nina mashudu ya kutosha nimeona niyapunguze stock yangu imeshajaa. Kilo moja nauza sh 500. Hata ukihitaji tani 30 unapata.
Natuma mkoa wowote ule
Karibuni
0636642415