Othman Masoud Othman, aliyeapishwa Zanzibar kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais, ana nguvu gani ya maamuzi akiwa ametoka ACT Wazalendo?
Anaweza kuagiza au aka command nini?
Ni upinzani au ni mshirika wa CCM?
Au ni stooges tu, yupo kwa ajili ya kupata ving’ora na mihela?
ACT Wazalendo wao, kila uchaguzi ukiisha, wanaitwa kwenye maridhiano kugawiwa vyeo. Dalali Zitto alicheza kama Pele kuipeleka ACT Zanzibar.
Hiki chama yaani wao huwa kinasubiri uchaguzi uishe, kigawiwe vyeo, kisha kisubiri miaka mingine mitano.
Moja ya jambo baya kwa viongozi ni unafiki na ndo umelitafuna taifa letu kama cancer. Vyama vya upinzani tunaamini Kuna siku vitapewa nafasi ya kuongoza nchi yetu .
Hivyo tunapoona kabla ya kupewa hiyo ridhaa wanakuwa wanafiki ni ishara mbaya sana kwenye hicho chama.
Nawauliza ndugu zetu Act...
Naibu Mkurugenzi wa Siasa na Matukio wa Chama cha Wananchi (CUF) Zanzibar, Ali Makame Issa amebainisha kuwa kuingia ndani ya Serikali ya Umoja wa Kitaifa ni maamuzi ya kikatiba ya Wazanzibari wenyewe, na si jambo linalopaswa kuamuliwa nje ya misingi hiyo ya kisheria.
Chama hicho kimeeleza...
Rais Samia Suluhu amesema maridhiano ni ishara ya ukomavu wa kisiasa unaojenga umoja na kuheshimiana, akisisitiza kuwa siasa zinapaswa kuongozwa na hekima, utu na maslahi ya taifa badala ya mivutano isiyoisha.
Amesema wananchi wanahitaji amani, usalama na utulivu, akizungumza Julai 9, 2026...