Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi amesema vyama 18 vya Siasa vimeshiriki katika Mkutano wa Vyama vya Siasa, akibainisha kuwa kuna chama kimoja ambacho hakijashiriki kwa sababu bado “kinajitafuta”. Akizungumza Oktoba 7, 2026 katika mkutano huo, Jaji Mtungi amesema kila chama...
Othman Masoud Othman, aliyeapishwa Zanzibar kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais, ana nguvu gani ya maamuzi akiwa ametoka ACT Wazalendo?
Anaweza kuagiza au aka command nini?
Ni upinzani au ni mshirika wa CCM?
Au ni stooges tu, yupo kwa ajili ya kupata ving’ora na mihela?
ACT Wazalendo wao, kila uchaguzi ukiisha, wanaitwa kwenye maridhiano kugawiwa vyeo. Dalali Zitto alicheza kama Pele kuipeleka ACT Zanzibar.
Hiki chama yaani wao huwa kinasubiri uchaguzi uishe, kigawiwe vyeo, kisha kisubiri miaka mingine mitano.
Akizungumza katika mkutano wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) leo Septemba 08, 2026, mwanachama wa chama cha CHAUMMA na Katibu wa zamani wa chama hicho, Salum Mwalimu ametoa wito kwa wadau Tanzania bara kufuata mfano wa maridhiano yanayoendelea Zanzibar, akisisitiza CCM na serikali ina...
Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC) umeishauri CHADEMA kutafuta suluhu ya kudumu ya changamoto zao ikiwemo shauri la mwenyekiti wake, Tundu Lissu, kwa njia ya mazungumzo yenye maslahi mapana kwa umma.
Aidha, THRDC imewashauri wanasiasa wote kwenda kwenye meza ya mazungumzo kwa ajili...
"Maridhiano sio kwa ajili ya Vyama Vya siasa tu. John Heche, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, (CHADEMA) anaposema maridhiano hadi awepo Tundu Lissu ni utashi wake yeye kwamba yeye anaamini hivyo!
"Lakini maridhiano yanaweza kufanyika kwa sababu Tundu Lissu ana kesi...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amewataka waandishi wa habari na vyombo vya habari nchini kuwa mabalozi wema katika kueneza na kuunga mkono jitihada za maridhiano ya kitaifa zinazoongozwa na Rais Samia
Akizungumza na waandishi wa habari leo Agosti 11, 2026, Chalamila...
Moja ya jambo baya kwa viongozi ni unafiki na ndo umelitafuna taifa letu kama cancer. Vyama vya upinzani tunaamini Kuna siku vitapewa nafasi ya kuongoza nchi yetu .
Hivyo tunapoona kabla ya kupewa hiyo ridhaa wanakuwa wanafiki ni ishara mbaya sana kwenye hicho chama.
Nawauliza ndugu zetu Act...
Maoni ya Dkt. Dennis Muchunguzi, Mkurugenzi Mkuu Taasisi za AFREDA na Rais wa Taasisi ya ACERICAANDO na Mtaalam wa maendeleo ya Kijamii na kiuchumi, mtaalam wa Lugha, maridhiano, upatanishi na ujenzi wa Amani
.Kwenye maridhiano kama ya kwetu haya, hatuhitaji upatanishi. Mara nyingi tumekuwa...
Akizungumza katika mkutano na Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam, Julai 26, Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana Taifa ya chama cha ACT-Wazalendo, Abdul Omary Nondo amewasilisha mapendekezo makuu matano yanayopaswa kutekelezwa na Serikali:
Kuachia Huru Tundu Lissu: Alisisitiza kuwa kuachiwa kwa...
Mwanasiasa Odero Charles Odero ametoa wito na kumtaka kaimu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA,John Heche kurudi kwenye Maridhiano na kama kweli anania ya dhati ya Tundu Lissu atoke nje anatakiwa awe na mahusiano mazuri na Seriakali na aache kusingizia Mwenyekiti wake kuwa...
Kaimu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, ametoa msimamo wa chama hicho akisema hakutakuwa na mazungumzo yoyote na Serikali iwapo Mwenyekiti wa Chama hicho, Tundu Lissu, atakapoachiwa huru na vikao halali vya Chama kuketi na kutoa uamuzi kuhusu hatua zinazofuata.
Heche ametoa msimamo huo Julai...
Makamu Mwenyekiti wa CCM, Stephen Wasira, hivi karibuni amesikika akisema kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, ndiye anayechangia kucheleweshwa kwa kesi yake ya uhaini kwa kuwasilisha mapingamizi mara kwa mara.
Akizungumza katika kipindi cha Dakika 45 cha ITV Julai 20, 2026, Wasira pia...
Aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Nigeria, Dkt. Benson Alfred Bana, amesema "Sioni watu wenye hekima kama walivyokuwa kina Mzee Warioba wakati ule, au kama tunavyomchukulia Mzee Obasanjo sasa hivi kwenye siasa za kimataifa."
Ameongeza kuwa "Sioni mtu wa kwenda hapa na pale; anatoka CHADEMA...
Aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania nchini Nigeria Dkt. Benson Alfred Bana amesema ili kupatikana kwa maridhiano ya kweli moja ya mambo yanayopaswa kuzingatiwa ni kuwepo kwa dhamira ya kweli huku mpatanishi akiwa katikati ya pande mbili zilizokosana.
Amesema hayo akizungumza kwenye mahojiano na...
Mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Joseph Selasini, amesema haiwezekani kukataa maridhiano bila kwanza kuwepo mchakato wa kuyafikia.
Amesema mchakato huo unapaswa kuwa na wajumbe, mwenyekiti na ajenda za kujadiliwa, ambapo pande zinazohusika zinaweza kukubaliana au...
Naibu Mkurugenzi wa Siasa na Matukio wa Chama cha Wananchi (CUF) Zanzibar, Ali Makame Issa amebainisha kuwa kuingia ndani ya Serikali ya Umoja wa Kitaifa ni maamuzi ya kikatiba ya Wazanzibari wenyewe, na si jambo linalopaswa kuamuliwa nje ya misingi hiyo ya kisheria.
Chama hicho kimeeleza...
Rais Samia Suluhu amesema maridhiano ni ishara ya ukomavu wa kisiasa unaojenga umoja na kuheshimiana, akisisitiza kuwa siasa zinapaswa kuongozwa na hekima, utu na maslahi ya taifa badala ya mivutano isiyoisha.
Amesema wananchi wanahitaji amani, usalama na utulivu, akizungumza Julai 9, 2026...
Mwanazuoni na Waziri wa zamani, Profesa Anna Tibaijuka, amebainisha kuwa nchi haiwezi kupata utulivu wa kweli wa kisiasa ikiwa hakuna maridhiano ya dhati, huku akisisitiza kuwa kuendelea kusalia gerezani kwa Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, hakuna afya kwa ustawi wa taifa.
"Na nchi...
Katibu wa Siasa na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam, Ally Bananga, amesisitiza kuwa Rais Samia Suluhu ameonyesha dhamira ya dhati ya kuiponya nchi kwa kunyoosha mikono yake tayari kwa mazungumzo na maridhiano ya kisiasa.
Akizungumza Juni 19, 2026, katika mahojiano na...