marefa

Marefa (in Arabic: المعرفة, lit. 'knowledge') is a not-for-profit online encyclopedia project that uses the wiki system to provide a free Arabic encyclopedia similar to Wikipedia. It was set up by Nayel Shafei on February 16, 2007. Sister projects include Manuscript documentation, Sources, Collaborative books, forums, Blogsphere, E-mail accounts (with unlimited storage), Video/Audio library.
In September, 2007, Marefa received 25,000 manuscripts and old books, in Arabic script, from the Government of India. These are scanned images of books stored in and around Osmania University, Hyderabad, India. The books are in Arabic, Persian and Ottoman Turkish. Marefa started the electronic publishing of them, immediately, and made them available for free. University of North Carolina (UNC) puts Marefa as one of top eight sources for Arabic Manuscripts, with notable global cultural centers of Arabic heritage, like, Süleymaniye Library, Istanbul, and Azhar University, Cairo. Middle East Librarian Association recommends the Marefa to its members, and its cited Marefa's receipt of 25,000 Arabic and Persian books and manuscripts from the Government of India.

View More On Wikipedia.org
  1. Hawa ni marefa wa rede au? Dakika 4 zinaongezwa iweje Refa anauchuna mpaka dakika 11

    Hii kitendo cha refar's kujiongezea dakika hata kama walipoteza mda hii sio sahihi kabisa refa anatakiwa afungiwe huu Sasa sio mpira ni rede, Dakika 90 zimesha unaongeza 4 ni ruksa na sio zaidi ya hapo, Refa we unajiongezea kama nani?😢 Wewe kama ni Yanga au Simba vuta picha mechi ya Derby...
  2. Marefa wetu ndiyo wanaiponza Yanga kimataifa

    Yanga ni sikio la kufa, halisikii dawa. Janja janja za GSM kwenye ligi letu ni matokeo yake haya. Haiwezikani ushinde kwa mipango mipango na kihuni kihuni halafu uweze kufanikiwa. Nikikumbuka game ya Yanga na Azam au Penalty waliyopewa juzi narudia kusema tena MAREFARII wetu ndiyo wanaoiharibu...
  3. T

    Badala ya kutoa magoli ya mchongo sasa marefa wa bahasha za khaki wageukia red kadi za mchongo

    Baada ya mashabiki kulalamika kwamba marefa wanahongwa kuruhusu magoli ya mchongo, sasa wapuliza filimbi hao wa mchongo wamekuja na mbinu nyingine: kudhoofisha timu kiakili na kimwili kwa kuwalima wachezaji red kadi za magumashi. Juzi hapa baada ya kuonekana kuwa wakata miwa wa turiani...
  4. Hawa Marefa wasipodhibitiwa watatuharibia mpira

    Inauma sana asee, Refa anatoa maamuzi kwa hisia, ama kweli nchi hii ina watu wa hovyo. Maamuzi ya Refa kutoa penaiti dhidi ya Geita Gold hakika hayakuwa sawa. Mchezaji amepigiwa mpira ukafuata mkono lakini pia kama haitoshi mchezaji alikuwa nje ya eneo la hatari. Aibu.
  5. Shida ya Marefa wetu ni Umri, Elimu, Weledi au ushabiki??

    Ukiondoa kiwango cha juu cha ushabiki wa mpira tulichonacho kuliko uhalisia wa timu tunazozishabikia, uduni wa wachezaji wetu, lakini pia Ligi Kuu ya Mpira wa Miguu Tanzania inaharibiwa kwa asilimia sitini (60%) na uchezeshaji wa marefa wa mchezo huo. Ligi yetu inaharibiwa sana na marefa wetu...
  6. C

    Marefa wa English Premier League nao ni Vilaza tu

    Ukiangalia performance ya Marefa wa Ligi Kuu ya Uingereza pamoja na kuwepo kwa VAR bado wana maamuzi dhaifu sana. Waamuzi hawa wamelalamikiwa mara kwa mara lakini hawabadiliki. Tarehe 12 Mei 2022 Refa Paul Tierney ametoa a very soft penalty kwa Spurs dhidi ya Arsenal. Maamuzi mengine ya hovyo...
  7. S

    Tatizo sio VAR, hao marefa wanazijua vizuri sheria za mpira?

    VAR ije Tanzania ili iweje? Matukio tata kwenye ligi yetu yanatokea ni kwasababu tu MAREFA hawajui kutafasiri Sheria za mpira unakuta refa hajui kuwa mkono hauhusiki kwenye offside. Mimi labda ingependekezwa waingie na simu zenye internet nzuri ili likitokea tukio refa aingie Google kwenye...
  8. Makosa makubwa yaliofanywa na marefa katika historia ya soka

    Afcon 2022 Baada ya refa wa Zambia kupiga kipenga cha mwisho kabla ya muda wa mechi kukamilika katika mechi kati ya Tunisia dhidi ya Mali, wakufunzi wa timu ya Tunisia waliwasilisha pingamizi baada ya mechi hiyo wakitaka kujua ni kwanini refa huyo alichukua uamuzi huo kabla ya muda wa mechi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…