Habari Wakuu,
Kampeni ya Miss grand International bado inaendelea, na sasa tupo episode ya Mapokezi.
Mshindi wa Miss grand International Jihan Dinmack anatarajiwa kuwasili nchini leo Oktoba 17, 2026 ambapo Watanzania wamejitokeza kuelekea uwanja wa Kimataifa Mwalim Julius Nyerere kwa mapokezi...