Habari zenu ndugu zangu,
Leo nimejisikia kuwapa tafsiri halisi ya neno mapenzi, wadogo zangu mliokuwa humu na watoto zangu pia kwa ujumla, kokote ulipo ukiulizwa nini maana ya neno MAPENZI, Jibu hivi " mapenzi ni huruma".
Yoyote anaekupenda lazima akuonee huruma, Je unataka kumjua mtu...