mapenzi ni gundu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kwanini mapenzi ni gundu kwa wengine?

    Kuna watu tokea wayajue mapenzi, hawana raha nayo ni kama wapo ukanda wa vita. Yamewafanya wawe walevi, wafirisike, wapoteze kazi na marafiki na wamekuwa ni watu wenye misongo ya mawazo. Ukiwa na tatizo katika mahusiano upaswi kujitenga na kuwa kimya, zungumza ama funguka.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…