mapato ya nchi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hatuwezi linda amani ya Mafisadi, Tunataka kuona kodi zetu na mapato ya nchi yakimnufaisha mTanzania bila kujali chama chake, familia aliyotokea, dini

    Hatuwezi kuendelea kuweka mazingira mazuri kwa mafisadi. Mmeharibu sana hii nchi huku waTanzania mkiwaona wakiteketea kila siku juu ya umaskini unaowazunguka. Pesa ambazo zilitakiwa kujenga hospitali bora zinatumika na kakikundi fulani Pesa ambazo zilitakiwa kuhakikisha kuna barabara bora ili...
  2. The Citizen: Sekta ya utalii yaongoza mapato ya nchi 2023/24; kongole kwa Royal Tour

    Kweli Rais Samia kafungua nchi, angalia takwimu hapa kwa mujibu wa The Citizen kama zilivyoletwa kutoka ripoti za BOT:- Kwenu muliobeza Royal Tour, ruksa kutoa povu. Ila nchi inasonga mbele
  3. Inakuwaje Dar es Salaam inaoongoza kuingiza mapato ya Nchi unakuwa na barabara mbovu hivi?

    Kati ya Mambo ambayo yatakuja kukiondoa Chama cha Mapinduzi madarakani ni namna ambavyo hawagawi kwa usawa keki ya taifa. Siku Watanzania wakipata akili na kusema kwa nini hapa kwetu tunachangia hiki na hatupati hiki ndio utakuwa mwisho rasmi wa siasa za kutawala Tanzania kwa Chama cha...
  4. Mpango wa mapato ya dola bilioni 100 kwa mwaka umekamilika

    Nikiwa Rais wa Tanzania serikali yangu itawezekeza kwenye maeneo matatu na naamini baada ya mda kama nchi tutakuwa na uwezo wa kukusanya usd billion 100 sawa zaidi ya Shilling Trillion 200 Michezo Mashamba ya umwagiliaji Viwanda vya awali- kuifanya Tanzania kuwa na better ecosystem ya smelter...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…